Nouns genders (Jinsia katika majina)
Kama tunavyojua ni kuwa, katika lugha ya Kiswahili, ni aghlabu kukuta majina ya vitu katika {genders} jinsia, kwa wale waliosoma lugha ya Kiarabu na Kifaransa, sio geni kwao kuona jinsia namna zilivyo tawala katika nouns za lugha hizo, lakini hata hivyo, Kiswahili kuna mifano michache ya jinsia ambayo niitoe ili tupate picha kamili ya jinsia {genders}, itakumbukwa kuwa katika Kiswahili kuna neno ‘mori’, tuna neno ‘fahali’ ambayo kama sikosei yanatumika katika kuelezea jinsia ya ng’ombe; na mengine ni kama kijana wa kiume aliye na umri mdogo huitwa "mvulana" na wa kike huitwa "msichana". Hivyo ndivyo pia tujue kuwa, katika Kiingereza, jinsia ipo sana kwenye ‘nouns’. Tazama mifano hapo chini.
Name of an animal masculine gender feminine gender
Jina la mnyama wa kiume wa kike.
Dog dog bitch.
Cow bull cow.
Sheep ram ewe.
Deer hart hind.
Rabbit buck doe.
Swan cob pen.
Duck drake duck.
Pig boar sow.
Horse stallion mare.
Young horse colt filly.
Fox fox vixen.
Gander gander goose.
Bullock
Other names are (majina mengine ni;)
Masculine feminine
Bachelor spinster
Boy girl.
Earl countess
King queen.
Lord lady
Mr. Mrs.
Bridegroom bride.
Brother sister.
Uncle aunt.
Husband wife.
Hero heroine.
Master mistress.
Nephew niece.
Father mother.
Monk nun.
Actor actress
Waiter waitress
Author authoress.
Poet poetess.
Manager manageress
Prince princess
Host hostess
Mayor mayoress
Murderer mudereress
Widower widow.
nouns (kwa kusoma zaidi kuhusu majina- click hapo)
Rudi kwenye ukurasa mkuu kwa kuclick hapa kwa masomo mengine zaidi