Ndugu wasomaji wa site hii, tunakukaribisheni katika kupata manufaa ya masomo mbali mbali katika site yetu hii, Je, wewe unataka kujua Kiingereza na ndio unaanza kujifunza kabisa?
Je, wewe ni mwanafunzi na unataka kuweza kujibu maswali mitihani yako ya Kiingereza vizuri?
Je, wewe ni mtu binafsi unayetaka kujua masuala ya kumueleza mtalii anaye taka kujua wanyama mbalimbali kwa majina yao?
Je, wewe unapenda kujua aina mbalimbali za matunda, viungo vya chakula, mavazi na mengineyo muhimu katika Lugha ya Kiingereza?
Je, wewe ni mwalimu wa kufundisha watoto?
Je, wewe unataka kujiendeleza katika Lugha ya Kiingereza binafsi na unataka ujue Lugha hii kwa ufasaha?
Je, wewe unataka kusikiliza Qur'aan na kuusoma uislamu katika lugha nyepesi?
Je, wewe unapenda mihadhara ya Kiislamu?
Kama jibu lako katika maswali mbalimbali hapo juu ni ndiyo, basi hapa umeshafika ambapo utapata mambo hayo, na kama tumeweka baadhi tu ya hayo, tutembelee baadaye kidogo kwa kuwa, masomo ndiyo yanaanza