home            kamusi

  Elimu ni ufunguo wa maisha                                                                             anayetaka maisha mazuri ya duniani basi atafute Elimu                                                                                            na anayetaka maisha mazuri ya Akhera na atafute elimu                                                                                                          na anayetaka maisha mazuri ya akhera na duniani ni wajibu atafute elimu

TENSES

PAST PERFECT PROGRESSIVE   (wakati uliopita hali timilifu inayoendelea)

Past perfect progressive (continuous)

      Itakumbukwa kuwa,kila lugha ina tenses (nyakati ambazo zinaelezwa na verbs za lugha husika) sio kila tense tutakayokuwa tukieleza hapa kwa kuitolea mifano ya kuifananishia na tenses itakuwa na sifa sawa na ya Lugha ya Kiingereza
           
Past perfect continuous imejengwa na maneno mawili -past perfect ya verb to be (Na hii ni neno "had been") ikifuatiwa na  present participle ya verb husika (Yaani Verb+ing). Tunapoongelea verb husika ni kuwa, tunaongelea kuhusu kitendo kilichomuelekea (Subject) yaani mtajwa/ mtendaji katika sentensi hiyo

Mifano:

Subject had been verb-ing
I

He 

They 

You 

We 

She

Abdur Rauuf 

had been

had been 

had been

had been

had been

had been

had been 

writing

talking

speaking

ignoring 

studying 

cooking

typing



Affirmative had been verb = ing

She

You 

They 

We 

had been

had been

had been 

had been

had been

driving

surfing

smoking

cleaning

bathing 

Negative had been verb + ing

We

They

You

Ali

Hilal

AbdulQaadir

hadn't been

hadn't been

hadn't been

hadn't been

hadn't been

hadn't been

hadn't been

sleeping

nodding off

writing

drawing

mopping 

peeling

watching 

Interrogative

Had you

Had you 

Had he

Had she 

Had they

been

been

been

been 

been

eating?

singing?

eating?

witting?

learning?

Interrogative negative

Hadn't they

Hadn't he

Hadn't dog

Hadn't the pupils

Hadn't you

been

been 

been

been

been 

swimming?

persecuting?

barking?

sweeping

blaming?

Mfano: neno kucheza (play) katika hali zote tatu tulizosoma hapo juu

Affirmative

Negative

Interrogative

I had been playing

I hadn't been playing

Had I been playing?

You had been playing

You hadn't been playing

Had you been playing

He had been playing

He hadn't been playing

Had she been playing?

We had been playing We hadn't been playing Had we been playing?
You had been playing You hadn't been playing Had you been playing?
They had been playing They hadn't been playing Had they been playing?
She had been playing She hadn't been playing Had she been playing?
It had been playing  It hadn't been playing Had it been playing?
Hilal had been playing Hilal hadn't been playing Had Hilal been playing?

        Matumizi yake: Kumbuka kuwa, tense hii haitumiki kwa verbs ambazo haziko kwenye progressive form (yaani hazina kuongezewa mwishoni ..ing) ila maneno kama "want'  na wakati mwingine "wish"

mfano;   She had been wanting to to purchase a new car for a long time. na kitu kingine cha kukumbuka ni kuwa, tense hii haina passive form (kutendewa)

     Kazi ya past perfect progressive (past perfect continue) tense
   1.   Past perfect continuous huafikiana  na present perfect progressive, lakini katika kurejea wakati huko nyuma kidogo kuliko, yaani wakati kabla ya sasa. Pia, hutumika pale tunapokuwa na shauku ya kujua kuhusu wakati huo ulivyokuwa unaendelea.

     Je, umekuwa ukinisubiri kitambo kabla ya simu kuita?  hapa Msemaji ana shauku ya kutaka kujua kilichokuwa kinaendelea katika wakati huo uliopita kidogo kabla ya wakati huo anapoongelea. Tazama mifano zaidi,

a. Had you been waiting long before the telephone call?
b. They had been having lunch before the guest arrival.
c. His head had been aching severely for several hours before he got sleep.
d. Their friends had been trying to rescue them when the building that they were inside got crashed.

 Hali hii hutumika vile vile katika reported speech. Ni sawa na ile ya past progressive na present perfect progressive katika direct speech:

  Abdul Maalik said "I have been surfing wind all afternoon."  Abdul Maalik said he had been surfing wind all afternoon.

     When Hilal asked by a judge whether he was by the time his computer stolen, he said "I was reading newspaper in my bedroom."  When the police questioned him, John told them he had been reading news paper in his bedroom.

  2. Past perfect progressive huwa ina uhusiano wa aina moja na past perfect ikiwa present perfect progressive huwa kwenye present perfect, Ikiwa kitendo kilianza kabla ya kuongea katika wakati uliopita na kikaendelea hadi muda huo au kikasimama au kikakoma au kikaisha kabla, twaweza mara nyingi kutumia kati ya tense hizi mbili,

  It was now eleven and he got tired because he had worked since dusk =       hii ni sawa na kusema

  It was now eleven and he got tired because he had been working since dusk.

  Mfano mwingine ni kama;

  They were having their lunch when I arrived here (But they've just finished off) =

  They had been having their lunch when I arrived.

    Sentensi hizo hapo zinamaanisha kuwa mtu huyo aliyetajwa kuhusika na kufanya kitendo alikuwa katika kuendelea kufanya kitendo hicho ambacho kilianza kabla ya mzungumzaji kukizungumzia na kuendelea hadi hapo muongeaji alipokuwa akiendelea au kilikuwa ndio kimesimama sio muda mrefu, yaani ndio sasa hivi tu kimesimama na hakiendelei tena.

  Kwa maelezo zaidi ya matumizi ya tense hii, click hapa

    Passive form

  Tense hii haina passive form

                Msamiati

   Kabla sijafunga somo langu nitakupa maana ya maneno baadhi niliyoyatumia humu

Dusk = alfajiri, wakati kabla ya asubuhi (kama saa kumi na moja hadi saa kumi na mbili hivi)

get tired (=Be tired) = choka,  Wind surfing = punga upepo, ignore = puuza, bathing = oga

Persecute = tesa mtu kwa sababu ya dini yake, ache = uma, maumivu (mfano, headache = maumivu ya kichwa)

blame = laumu

  Nakutakia kila la kheri na ninakukaribisha uendelee na masomo mengine.