SEHEMU ZA MWILI WA BINAADAMU (Some of parts of a human being's body)
Head kichwa.
Hair nywele.
Shoulder bega.
Stomach tumbo.
knee goti.
Toe kidole cha mguuni
Finger kidole cha mkono.
Ear sikio.
Eye jicho.
Mouth mdomo.
Lip sehemu ya chini au ya juu inayo funga mdomo.
Upper lip sehemu ya juu ya mdomo inayoufunga mdomo.
Lower lip sehemu ya chini ya mdomo inayoufunga mdomo.
Throat Koo.
Nape sehemu ya nyuma ya shingo (Juu ya mgongo)
Adam's apple sehemu kwenye koo la mwanaume palipo tokeza juu na hushuka chini anapomeza kitu.
Nose pua.
Tooth jino.
Tongue ulimi.
Palate paa la mdomo.
Eyes brows nyusi.
Eyelashes kope.
Beards ndevu.
Moustache mustachi.
Bald kipara.
Fore head utosi.
Chin kidevu.
Palm kiganja cha mkono.
Ankle kifundo cha mguu.
Eye lid mstari unaopita kati ya jicho na shavu.
Temple sehemu iliyopo kati ya sikio na jicho (katika usawa wa kuelekea kwenye jicho)
Cheek shavu.
Nail kucha.
Back mgongo.
Buttock makalio.(sehemu unayoikalia/uliyoikalia kama umekaa.)
Chest kifua.
Navel or
(belly button) kitovu.
Nipple sehemu kama kipele kwenye kifua chako juu ya sehemu iliyoinuka (kiziwa)
Thigh paja
Foot mguu.
Spleen wengu, bandama.
Spine uti wa mgongo.
Penis sehemu ya kiume.
Pancreas kongosho, kiungo ndani ya mwili kizalishacho majimaji ya kusanisi chakula kilicholiwa.
Forefinger kidole cha shahada.
Thumb kidole cha gumba.
Vagina sehemu ya kike.
Lobe sikio la nje (yaani antenna ya sikio unayoweza kuigusa nje), ndewe.
Sole nyayo.
Hand mkono (sehemu ya kushikia kitu) kuanzia kwenye kiwiko hadi kwenye vidole.
Wrist kiwiko. (viungio vya "hand" na "arm"
Arm sehemu ya mkono kuanzia mabegani hadi kwenye hand.
Breast matiti.
Waist Kiuno.
Elbow Sehemu mikono yapo inapo kunjika kutoka kwenye mabega yako ukishika kiuno, kiwiko; (kipepsi),
Heel kisigino.
Prepuce ngozi ya mbele ya mwanaume, govi.
Skin ngozi.
Lung pafu.
Jaws taya.
Uvula kimio.