simple future tense (wakati uliopita)

    Tunapotaka kufikisha ujumbe kuwa kitu hakijafanyika bado, lakini kitafanyika wakati ujao, tuatumia tense hii, tense hii ina sehemu mbili;

 I.   sehemu hii ya kwanza imebeba neno "shall" au "will" kutokana na noun au pronoun iliyoibeba, kama subject ya sentensi.

  Mfano;

 I shall                      

He will

She will

It will

They will

You will

We shall

II. Tunaongezea kwenye "will" au "shall" infinitive verb without " to"

Mfano;

I shall fly to Cairo next month.                                            (nitakwenda Cairo mwezi ujao)

We shall try to solve this problem.

They will know what I have told them;

It will rain.

 

Ikiwa katika interrogative form inakuwa hivi

 unachukua neno "will" au "shall" na kuanza nalo mwanzoni mwa sentensi yako, likifuatiwa mbele yake na pronoun au noun ambayo ni subject

mifano;

Shall I go to school?                                                                   (je, nitaenda shule?)

Will you remember what I have told you?

Will they surrender or not?

Shall I come with you?

Will you do that before next month?

Will Abdul take it home?

Will she wait for my children?

    kama tunaongelea kuhusu jambo kuwa lini litafanyika (kwa kuwa ni kipindi kijacho cha kufanyika kwa jambo hilo, tunatumia sana maneno hayo, tazama mifano hapo chini.

When will you go to town?

When will your brother come back home?

When will this happen?

When shall we visit our grand parents?

 Ikiwa tunazungumzia kuhusu tags Questions za tense hii, yabidi tujue kwanza vifupisho vya maneno hayo,

Shall not        shan't

Will not        won't.

Will               'll.

Shall             'll.

  Mathalan;

I'll try to solve this problem.

You'll need an effort to settle your problems.

We'll abstain from it.

 

   Question tags

I shall beat you, shan't I?

We shan't respect you, shan't we?

You will need to check it up, won't you?

they won't be able to solve it, will they?

 

Kumbuka kuwa neno "will not hufupishwa kwa kuandikwa won't, kwa koma kati ya n na t, usichanganye kwa kuandika bila koma, kwani halitakuwa na maana hiyo, bali likiwa bila koma huwa na maana ya kuonywa au alionya (kutokana na neno "warn").

               Kwa kurudi katika ukurasa mkuu, click hapa