Make your own free website on Tripod.com

TENSES

 Njia nyingine za kuzungumzia kuhusu future ni:

A. Neno "IS TO + INFINITIVE

  Muundo:
   
Muundo huu umegawanyika katika sehemu mbili: Muundo muafaka (appropriate form) wa verb to be + to mfano; (am to, are to, is to), na infinitive ya kitenzi kikuu bila 'to' (Bare infinitive).
.

Subject

to be to

Bare infinitive (Infinitive bila "to"

am to leave.
You are to pay.

We

are to

studyAffirmative
They are to sleep.
It is to go.
She is to travel
Negative
We aren't to try.
He isn't to watch.
You are not (aren't) to travel.
Interrogative
Were they to leave?
Is he to stay?
Am I to travel?
Interrogative negative
Weren't we to fly?
Isn't it to run?

Aren't

they to travel?

 Kazi:
   Muundo huu hurejea kwenye wajibu, (Kuwajibika) kufanya kitu fulani katika muda mfupi ujao au muda ujao sio sasa hivi. Inafanana na neno "must" (Lazima), lakini kuna kidokezo kuwa kitu fulani kimepangwa au kuafikiwa  nasi (ka ajili yetu). Kwa kawaida hutumika katika Kiingereza cha kuongea, lakini huweza kupatikana katika masimulizi au hadithi za kijasusi (kipelelezi), mfano.

"You are to leave this room at once, and you are to travel by train to London. In London you are to pick up your ticket from Mr Smith, and you are to fly to your destination alone. When you arrive, you are to meet our agent, Mr X, who will give you further information. You are to destroy this message now."

B. BE + ABOUT TO + INFINITIVE

Muundo:
   Muundo huu wagawanyika katika sehemu tatu: Hali muafaka ya verb to be, present tense, + 'about to' + infinitive ya kitenzi kikuu bila 'to':

Subject be about to infinitive without to
I am about to leave
She is about to arrive

Kazi:
   Muundo huu hurejea wakati mara tu baada ya wakati wa kuongea, na huhimiza kuwa tukio au kitendo kitafanyika punde tu (Sio muda mrefu kuanzia sasa):

Mifano:

a. She is about to leave.
b. You are about to see something very unusual.
c.
I am about to go to a meeting - can I talk to you later?

  Mara nyingi hutumika ikiwa na neno  'just', ambalo husisitiza ufanyikaji wa haraka sana wa kitendo au tukio:

We are just about to go to sleep.
Sally is just about to take an exam.

  Muundo huu waweza pia ukatumika katika simple past tense kurejea kitendo ambacho kilikuwa imminent, lakini kikakatishwa. katika vitu kama hivyo, mara nyingi hufuatiwa na 'when - clause':  Mfano

She was about to leave when he arrived.
I was just about to telephone her when she walked into the house.