Make your own free website on Tripod.com

Sentences patterns

   Kutunga sentensi ni jambo muhimu sana katika kujifunza lugha, ni jambo linalofuatia baada ya kujifunza verbs, nouns n.k. Kuna miundo mbalimbali ya namna ya kutunga sentensi kutegemeana na ujumbe sentensi yako inaoubeba. Tumeweka somo hili ili kumuwezesha mwanafunzi wetu apate njia rahisi ya kuongea lugha ya Kiingereza. Ili tusikucheleweshe basi, chagua mada mojawapo kwa kuckilck hapo chini ili usome somo unalotaka;

Sentence pattern One

Sentence pattern two

Sentence pattern three

Sentence pattern four

sentence pattern five

Sentence pattern six

Sentence pattern seven

Sentence pattern eight

Sentence pattern nine

Sentence pattern ten