Canoksanhilal Free Online Swahili English course

Sentences pattern 5

 Angalia katika sentensi zifuatazo.

  The man in the red car became  member of parliament

   Maneno yaliyoandikwa kwa italic kama kawaida ni maneno yaliyojenga sentensi nzima na ni msingi wa sentensi yote.Tukiyaangalia katika sentensi huwa kama hivi;

       Man became member of parliament.

    Twatumia linking verb mara nyingine katika sentence pattern hii, lakini mara hii huunganisha nouns mbili (majina mawili). Sio noun na adjective kama ilivyokuwa kwenye pattern three. Twatumia linking verbs chache zaidi katika Sentence pattern hii, na mifano ifuatayo imebeba linking verbs ambazo mara nyingi sana twazitumia.

       Hilal became (a) webmaster.

       (The) man seemed conjurer.

       He remained trustworthy.

       They (all) looked tired.

       It seems strange to happen.

            Unaweza kuona au kusikia kuwa, katika sentence pattern five, linking verbs kama "become" na "remain" hutumika sana katika maongezi au kuandika.

By Muhseen bin Rajab Husayn (canoksan)

 5/08/2002