Make your own free website on Tripod.com

RELIGIOUS PAGE:

  Karibu katika directory ya Masomo ya dini ya Kiislam, Page hii itakuelekeza katika mada mbalimbali za dini yetu ya Kiislamu. Tunakuletea masomo kutoka katika madrasa ya Alhikma (Ahikma islamic education center) kutoka Temeke Dar es Salaam Tanzania. Mtoaji mada wetu ni Sheikh AbdulQaadir Ahdaal. Na kutoka katika internet mnafikishiwa na mwanafunzi wake Muhseen Rajab (MUHRAJA). Canoksanhilal inawatakia kila la kheri katika masomo haya: Click katika mada unayoitaka hapo chini.

 Mwezi wa Rajab na yanayofanywa humo.                                                                                                                                                      Makatazo ya kumuingilia mtu katika utupu wa nyuma.