Make your own free website on Tripod.com
muhraja's apres' ski & nocturnal English language course centre

welcome to canoksanhilal homepage
canoksanhilal.jpg
feel free to learn from our site

canoksan.gif

Ndugu wasomaji wa site hii, tunakukaribisheni katika kupata manufaa ya masomo mbali mbali katika site yetu hii, Je, wewe unataka kujua Kiingereza na ndio unaanza kujifunza kabisa?
 Je, wewe ni mwanafunzi na unataka kuweza kujibu maswali mitihani yako ya Kiingereza vizuri?
  Je, wewe ni mtu binafsi unayetaka kujua masuala ya kumueleza mtalii anaye taka kujua wanyama mbalimbali kwa majina yao?
  Je, wewe unapenda kujua aina mbalimbali za matunda, viungo vya chakula, mavazi na mengineyo muhimu katika Lugha ya Kiingereza?
  Je, wewe ni mwalimu wa kufundisha watoto?
 Je, wewe unataka kujiendeleza katika Lugha ya Kiingereza binafsi na unataka ujue Lugha  hii kwa ufasaha?
 Je, wewe unataka kusikiliza Qur'aan na kuusoma uislamu katika lugha nyepesi?
Je, wewe unapenda mihadhara ya Kiislamu?
  Kama jibu lako katika maswali mbalimbali hapo juu ni ndiyo, basi hapa umeshafika ambapo utapata mambo hayo, na kama tumeweka baadhi tu ya hayo, tutembelee baadaye kidogo kwa kuwa, masomo ndiyo yanaanza
seeking for education is as important as eating.
chafingdish.jpg
so, let's hard on it.

   Tembelea website yetu mara kwa mara ambayo bado inazidi kuangalia mambo muhimu ya kukuletea ya Kielimu katika internet

 
    This website is brought to you by
 Muhraja's apres' ski & nocturnal English language program course centre.
 supported by Tripod and powered by Trelix
 We acknowledge all these for their support to us,  also I acknowledge one of my pupils (Hilal Shukri) who has been working very close with me during all the period of preparation of this website,  I would like also to thank my nephew (Yahya Diwani) who persuaded me to found a website that would offer islam theology, I have so many people to thank them, but I can't mention them one by one
 

canoksanhilal home

Jifunze Kiingereza

Kuna nini jipya!!
 
  Mada zinazokuja hivi karibuni kwa ajili ya wasomaji wa madarasa viwango vya juu vya Lugha hii)
 
  Matumizi ya vifungu tenzi vya Kiingereza (Verbs patterns)
  Matumizi ya Vifungu sentensi (Sentences patterns)
  Mihadhara ya dini (inayotolewa na sharif AbdulQader Muhammad  Al-Ahdal (Kutoka madrasa ya Istiqaama iliyokoDar Es Salaam -Temeke) kwa  Lugha ya Kiingereza na Kiswahili
  Na mengineyo mengi
 
  Imeandaliwa na kuletwa kwenu na
   Muhseen bin Rajab Husayn (canoksan)
tukimbilie kutafuta elimu
canoksan.gif

Learn Islam

Learn Islamic theology

Hadeeth (Sahihi Bukhar, Muslim e.t.c) in English

Canoksan page for Qur'aan audio links
quraan.gif
Sikiliza Qur'aan kwa kucklick kwenye msahafu hapo juu

Sikiliza Qur'aan (Muhammad Swiddiyq Alminshaawi, Dr. Aliyyi bin Abdur Rahman Alkudhayfi, Abdul Baasit na Khalili Khosari)

Sikiliza Qur'aan (Shaykh Abdurrahmaan Sudays)

         Hakuna mali kubwa kama elimu, wala hakuna ufakiri mkubwa kama ujinga; Hivyo basi, tusibaki katika ujinga, tusome na tuache kutumia internet kwa mambo machafu ya kutuangamiza;
   Ni mfano wa ndege tunazosafiria, ikitumika vibaya huweza kugeuka kuwa bomu na kutuangamiza, lakini ikitumika vizuri huwa ni kifaa cha haraka kwa usafiri wa mbali, hivi ndivyo internet ilivyo, ikitumika katika masuala ya kheri (yaani ya Kielimu iliyokubalika) huwa ina manufaa ya kukupeleka mbali sana uoni wako ukilinganisha na hapo ulipokomea, lakini ukitumia katika masuala ya picha za uchafu, zitakuathiri kisaikolojia na Kukuondolea mipaka fulani ya nguvu za asili ulizoumbwa nazo, kutokana na wewe kuzoea kuangalia uchi;
    Tusomeni, Kwani tuna mengi sana ya manufaa yanayotusubiri kuyasoma,
 tujali muda, kwa kuwa dakika kumi ulizopoteza haziwezi kurudi tena.
 
     Wenu
               Hilal bin Muhammad Shukri