Make your own free website on Tripod.com

Karibu sana katika kisomo cha Qur'aan                                                             Hapa utasikiliza wasomaji wetu wengi kama utakavyoona yule utakayemchagua.                                                                                                                         WELCOME DEAR VISITOR TO THE QURAAN PAGE DIRECTORY                                                                                                                        FROM  HERE YOU CAN LISTEN MANY OF OUR RECITORS  AS YOU WILL CONFIRM SOON

HII NI PAGE MAALUM KWA AJILI YA KUSIKLIZA QUR'AAN KUTOKA KWA WASOMAJI WETU WALIOORODHESHWA HAPO CHINI KWENYE JEDWALI.

    Canoksanhlal inawatakia waislam kote ufungaji mwema wa mwezi mtukufu wa Ramadhani. Pia canoksanhilal inapenda kuwaonyesha kwa ufupi namna ya kutumia site hizo kabla ya ku click kusikiliza, kwa kuwa utakutana na lugha ya Kiarabu tu, cha muhimu ni kuwa kuna orodha ya sura kuanzia juu kwenda chini, una click kwenye kiboksi pembeni ya Sura kisha unabonyeza kwenye alama ya PLAY    Kitu kingine cha muhimu ni kuwa kama sura unayoitaka huioni katika orodha,  kama hivi 

المجموع: 114 31-60 < 1 2 3 4 > اعرض لي: 10 20 30 نتائج في الصفحةBonyeza hapo kwenye namba na utaona sura nyingine.

  Kumbuka kuwa utakuwa unahitaji uwe na real player (Real one) kwenye Computer yako. Kabla ya kuendelea, angalia computer yako kama inayo real one. Kama haina usiogope, nitakupatia hapa hapa (Bonyeza hapa usome maelekezo kama hujui na kisha utaona namna ya kuingiza, haihitaji gharama yoyote.

  Kama unahitaji ya Kiingereza kusikiliza moja kwa moja Qur'aan bila kupitia kokote, Click hapa

 As-Sudais and Ash-Shraim

 Abdirashiid Sh. Ali Suufi.

 Ibrahim Al-Akhdhar

Ali Abdullah Jabir

 Adil Al-Kalbani

 Muhammad Abdulkariim

 Ahmad Ali-Al-'Ajmi

 Hani Ar-Rifa'i

 Su'ood Ash-Shraim

 Khalid Al-Qahtani

 Tawfiq As-Saaigh

 Muhammad At-Tablawi

 Muhammad Al-Muhaisini

 Ali Al- Huthaifi

 Muhammad Hassan

 Abdul-Wadood Haneef

 Sa'd Al-Ghamidi

 Abdul-Hadi Al-Kanakri