allah-names.gif

allah-names.gif

Canoksanhilal- Qur'aan directory page.

In the name of Allah, the most merciful, the beneficent.

  Canoksanhilal Qur'aan directories page.

      Canoksanhilal inakuletea Qur'aan kutoka kwenye site mbalimbali za Qur'aan, hii ni orodha na maelekezo ya site zinazohusu Qur'aan tukufu na pia njia ya kumuelekeza msomaji ili afanikishe usikilizaji wa Kitabu kitukufu cha Allah, tunawaombea wale wote waliofanya jitihada na kukiingiza kitabu hiki katika internet na pia Allah awalipe jaza njema pamoja na wasomaji wetu wa Qur'aan. Aaamin

     Canoksanhilal itakuwa inajitahidi kuzifuatilia site hizi za Qur'aan na kuwarahisishia wasikilizaji na wasomaji na vile vile itajitahidi kuelezea umuhimu wa kusoma na kuhifadhi kitabu cha Allah, nawaomba wasomaji wetu na watembeleaji wa internet watumie fursa hii kuhamasishana na katika kukihifadhi kitabu hiki.

  Wasomaji wetu;                                                                                        Software

Kwa watumiaji wa computer windows 95/98/200/NT au ME (Milenium)

   Ikiwa huna software iitwayo real player, click hapa ili uanze ku-install, wakati imefungua itaanza yenyewe kuingiza real audio player, kama huoni ikifanya hivyo, basi utabonyeza kwente sehemu iliyoandokwa RESTART DOWNLOAD na kutokana na setting kwenye computer yako, inaweza kukujia security warning dialogue box (sanduku la onyo la kiusalama kwa computer yako, Click neno "yes" ili kuruhusu active X control ziingie kwenye computer yako katika kufanikisha kuingiza real player. kwa wale wanaotumia macintosh au aina nyingineyo wata click hapa ili wachague ni aina gani ya system ya computer wanayoitumia, Kuna uwezekano pia wakati unaingiza player yako ukaona majina ya miji kama Paris, England n.k kuwa uchague mji mmoja kama kituo cha kuchukulia data hizo' chagua "London" na kisha fuatisha taratibu za kawaida katika kukamilisha kazi hii, sana sana utasubiri hadi data zako ziingie kwa asilimia mia moja.

   Amma kwa upande wa hardware unatakiwa uwe na sound card na speaker au headphones.

  Tunakutakia kila la kheri katika kusikiliza kisomo kitukufu.

  By Muhseen bin Rajab Husayn (canoksan)

Sunday, July 21, 2002